story Na Elisante Mkumbo na Victor Kinambile Tabora Alhamisi 26/1/2012 Ili kuweza kuongeza mapato yatokananyo na utalii ,serekali imeombwa kuangalia uwezekano wa kuyafanyia matengenezo na kuya tangaza makumbusho mbalimbali nchini ili kuweza kuwavutia watalii waweze kufika kwa wingi. Hayo yamesemwa na waandishi wa habari wa mikoa ya Singida na Tabora wakati walipotembelea makumbusho ya Tembe la David Livingston na nyumba ya mtemi Fundikira ambayo yapo mkoani Tabora wakiwa katika mafunzo ya siku nne juu ya uandishi wa mtandaao Waandishi hao waligundua kusaulika kwa Tembe ambalo lilitumika kuwahifadhi watumwa kwaajili ya kuwasafirisha kwenda Bwagamoyo ambako walikuwa wakisafirishwa kwa mashuwa kwenda Zanziba hatimaye bara la Asia Tembe hilo mwanzoni lilikandikwa kwa udogo juu ya paa lake na kuonyesha uhalisi ambapo liliwavutia watalii waliofika enzi hizo mpaka Wajerumani waliamua kulinunua kwa Rupia miamoja hamsini na kulihifadhi hadi walipojenga makao ya mkuu Kazahill (Tabora). Kivutio kingine kilicho saulika na Wizara ya maliasi na utalii katika mji wa Tabora ni Jiwe lenye Ngoma, Bao,makalio na nyayo za watu wa kale. Jiwe hilo ambalo lipo kando ya ngome ya mtemi Fundikira ambalo viongozi wengi wa serekali na mkoa wa mkoa wa Tabora wamekuwa wakipita na kuyaona bila kuya fayania matengenezo ambayo yangeweza kuwavutia watalii. Mwisho Matengenezo Na Elisante Mkumbo na Victor Kinambile Tabora Alhamisi 26/1/2012 Ili kuweza kuongeza mapato yatokananyo na utalii ,serekali imeombwa kuangalia uwezekano wa kuyafanyia matengenezo na kuya tangaza makumbusho mbalimbali nchini ili kuweza kuwavutia watalii waweze kufika kwa wingi. Hayo yamesemwa na waandishi wa habari wa mikoa ya Singida na Tabora wakati walipotembelea makumbusho ya Tembe la David Livingston na nyumba ya mtemi Fundikira ambayo yapo mkoani Tabora wakiwa katika mafunzo ya siku nne juu ya uandishi wa mtandaao Waandishi hao waligundua kusaulika kwa Tembe ambalo lilitumika kuwahifadhi watumwa kwaajili ya kuwasafirisha kwenda Bwagamoyo ambako walikuwa wakisafirishwa kwa mashuwa kwenda Zanziba hatimaye bara la Asia Tembe hilo mwanzoni lilikandikwa kwa udogo juu ya paa lake na kuonyesha uhalisi ambapo liliwavutia watalii waliofika enzi hizo mpaka Wajerumani waliamua kulinunua kwa Rupia miamoja hamsini na kulihifadhi hadi walipojenga makao ya mkuu Kazahill (Tabora). Kivutio kingine kilicho saulika na Wizara ya maliasi na utalii katika mji wa Tabora ni Jiwe lenye Ngoma, Bao,makalio na nyayo za watu wa kale. Jiwe hilo ambalo lipo kando ya ngome ya mtemi Fundikira ambalo viongozi wengi wa serekali na mkoa wa mkoa wa Tabora wamekuwa wakipita na kuyaona bila kuya fayania matengenezo ambayo yangeweza kuwavutia watalii. Mwisho makumbusho yalivyosahaulika Tabora
Labels:
livingstone tembe
|
No comment yet
Hili ndio tembe lilokuwa likikusanyia watumwa limetekelezwa na sasa alipo kwenye ualisia Na Elisante Mkumbo na Victor Kinambile
Ili kuweza kuongeza mapato yatokananyo
na utalii ,serekali imeombwa kuangalia uwezekano wa kuyafanyia
matengenezo na kuya tangaza makumbusho mbalimbali nchini ili kuweza
kuwavutia watalii waweze kufika kwa wingi.
Hayo yamesemwa na waandishi wa habari
wa mikoa ya Singida na Tabora wakati walipotembelea makumbusho ya
Tembe la David Livingston na nyumba ya mtemi Fundikira ambayo yapo
mkoani Tabora wakiwa katika mafunzo ya siku nne juu ya uandishi wa
mtandaao
Waandishi hao waligundua kusaulika kwa
Tembe ambalo lilitumika kuwahifadhi watumwa kwaajili ya kuwasafirisha
kwenda Bwagamoyo ambako walikuwa wakisafirishwa kwa mashuwa kwenda
Zanziba hatimaye bara la Asia
Tembe hilo mwanzoni lilikandikwa kwa
udogo juu ya paa lake na kuonyesha uhalisi ambapo liliwavutia watalii
waliofika enzi hizo mpaka Wajerumani waliamua kulinunua kwa Rupia
miamoja hamsini na kulihifadhi hadi walipojenga makao ya mkuu
Kazahill (Tabora).
Kivutio kingine kilicho saulika na
Wizara ya maliasi na utalii katika mji wa Tabora ni Jiwe lenye Ngoma,
Bao,makalio na nyayo za watu wa kale.
Jiwe hilo ambalo lipo kando ya ngome ya
mtemi Fundikira ambalo viongozi wengi wa serekali na mkoa wa mkoa wa
Tabora wamekuwa wakipita na kuyaona bila kuya fayania matengenezo
ambayo yangeweza kuwavutia watalii.
Mwisho
Post a Comment