UZOAJI TAKA MANISPAA YA TABORA

| No comment yet
MANISPAA YA TABORA ILIKUWA IMEKUMBWA NA UCHAFU WA KUTOSHA KUTOKANA NA AGIZO LA MKUU WA MKOA BI FATMA MWASA LA KUHAKIKISHA USAFI UNAFANYIKA KILA JUMAMOSI, MKUU WA WILAYA YA TABORA MJINI BW MOSHI MUSSA CHANG'A ALIAGIZA HATUA ZICHUKULIWE MARA MOJA KUZOA TAKA HIZO, HAPA NI CATURPIRA LIKIPAKIA UCHAFU KATIKA KONTEINA ILI ZIKATUPWE. picha na simon kabendera Tabora.

maji

| No comment yet
Pamoja na TUWASA kuboresha huduma bado kuna wateja ambao siyo waaminifu kama inavyonekana katika picha .

Mamlaka ya maji mjini tabora imetangaza vita na wezi wa maji na wateja ambao bado hajalipa huduma hiyo paja na kukatiwa.

Meneja biashara wa mamlaka hiyo Bernad Biswalo ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mjini Tabora baada malaka hiyo kupata hasara ya shilingi blioni 1,15904,232 zinzotokana na watumiaji wamaji kujilimbikizia bila kulipa.

 Amesema kutoka na deni hilo mamlaka imekuwa inashindwa kutoa huduma hizo kwa ubora kutokana mamlaka kujiendesha bila kutegemea ruzku kutoka serekalini.

Amesema jamboalingine linalokwamisha ufanisi ni wizi wa miundo mbinu ambao unafannywa na wafanyabiashara wa vyuma chakavu na tayari mamlaka imejipanga kkupambana nao.
 Habari na piccha Victor Kinambile.http://www.mjengwaglobspot.com/ michuziglobspot.com

MAJI

| No comment yet
Na Vctor Kinambile

Wakazi wa mji wa Tabora wataanza kupa huduma bora ya maji baada ya kufungwa kwa mtambo mpya ambao unarajiwa kuwasili siku yeyote kunzia sasa.

Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa tuwasa meneja biashara wa mamlaka hiyo Bernad BIswalo,alisema kwamba kwa muda mrefu wakazi wa manispaa Tabora  wamekuwakipata huduma kwa kusua sua .
Alisema kwamba kusua sua huko kulitokana na mitambo ambaoyo inasababisha usukumaji wa maji kutoka katika bwawa na kuwasambazia wateja kuungua,.

Kuungua kwa mashine hizo kulisababisha huduma ya maji katika mji kusimama kwa muda wa wiki sasa hivyo kuingia kwa mtambo huo utasaidia urejeshwaji wa maji katika hali ya kawaida

Alisema mamlaka imejiagiza mita 5000 ili kuwafungia wateja 2000 ambao walikuwa hawana mita najingine zitafungwa kwa wateja ambao walikuwa na mita lakini kwa makusudi wakaziharibu.

Mita ambazo zitafungiwa wateja ni za plastiki ambazo mamlaka imeziagiza ili kuweza kupambana na wafanya biashara vyuma chakavu ambao wamekuwa wakiharibu miundo mbinu ya mamlaka.http://www.mjengwaglob.com/

maji

| No comment yet
Baada ya kutoa maji katika bwawa ,maji hayo hupitia hapa katika chujio ambapo yasafishwa ilikweza kusambazwa kwa watumiaji yakiwa safi na salama chujio hili  lina uwezo wa kuchukua ujazo wa 15mm kwa siku. 

histori

| No comment yet
Hili ni bwawa la igombe ambalo limejengwa mwaka 1956 na kuanza kutumika mwaka 1958 linaujazo wa maji 41mm  maji bwawa hili kwa sasa linahudumia wakazi wa manispaa ya Tabora