maji

| No comment yet
Pamoja na TUWASA kuboresha huduma bado kuna wateja ambao siyo waaminifu kama inavyonekana katika picha .

Mamlaka ya maji mjini tabora imetangaza vita na wezi wa maji na wateja ambao bado hajalipa huduma hiyo paja na kukatiwa.

Meneja biashara wa mamlaka hiyo Bernad Biswalo ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mjini Tabora baada malaka hiyo kupata hasara ya shilingi blioni 1,15904,232 zinzotokana na watumiaji wamaji kujilimbikizia bila kulipa.

 Amesema kutoka na deni hilo mamlaka imekuwa inashindwa kutoa huduma hizo kwa ubora kutokana mamlaka kujiendesha bila kutegemea ruzku kutoka serekalini.

Amesema jamboalingine linalokwamisha ufanisi ni wizi wa miundo mbinu ambao unafannywa na wafanyabiashara wa vyuma chakavu na tayari mamlaka imejipanga kkupambana nao.
 Habari na piccha Victor Kinambile.http://www.mjengwaglobspot.com/ michuziglobspot.com

Post a Comment