picha mbili

| No comment yet
 Waandishi wa habari kutoka mikoa ya Tabora na Singida wakiangalia kumbukumbu mbalimbali zilizopo kwenye jumba la makumbusho, maarufu kwa jina la 'Tembe la Dk. Livingstone, iliyopo eneo la Kwihara, katika Manispaa ya Tabora.
Mhifadhi mwangalizi msaidizi wa mambo ya kale, bw. Hamis Mohammed Kaloka, akionyesha mfano kwa Mkurugenzi wa muungano wa vilabu vya waandishi wa habari nchiini bw, Abubakar Karsan, jinsi watumwa walivyokuwa wakifungwa minyororo, kabla ya kusafirishwa kwenda sehemu mbali mbali.

Post a Comment