maji
Pamoja na TUWASA kuboresha huduma bado kuna wateja ambao siyo waaminifu kama inavyonekana katika picha .Mamlaka ya maji mjini tabora imetangaza vita na wezi wa maji na wateja ambao bado hajalipa huduma hiyo paja na kukatiwa.
Meneja biashara wa mamlaka hiyo Bernad Biswalo ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mjini Tabora baada malaka hiyo kupata hasara ya shilingi blioni 1,15904,232 zinzotokana na watumiaji wamaji kujilimbikizia bila kulipa.
Amesema kutoka na deni hilo mamlaka imekuwa inashindwa kutoa huduma hizo kwa ubora kutokana mamlaka kujiendesha bila kutegemea ruzku kutoka serekalini.
Amesema jamboalingine linalokwamisha ufanisi ni wizi wa miundo mbinu ambao unafannywa na wafanyabiashara wa vyuma chakavu na tayari mamlaka imejipanga kkupambana nao.
Habari na piccha Victor Kinambile.http://www.mjengwaglobspot.com/ michuziglobspot.com
MAJI
Na Vctor KinambileWakazi wa mji wa Tabora wataanza kupa huduma bora ya maji baada ya kufungwa kwa mtambo mpya ambao unarajiwa kuwasili siku yeyote kunzia sasa.
Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa tuwasa meneja biashara wa mamlaka hiyo Bernad BIswalo,alisema kwamba kwa muda mrefu wakazi wa manispaa Tabora wamekuwakipata huduma kwa kusua sua .
Alisema kwamba kusua sua huko kulitokana na mitambo ambaoyo inasababisha usukumaji wa maji kutoka katika bwawa na kuwasambazia wateja kuungua,.
Kuungua kwa mashine hizo kulisababisha huduma ya maji katika mji kusimama kwa muda wa wiki sasa hivyo kuingia kwa mtambo huo utasaidia urejeshwaji wa maji katika hali ya kawaida
Alisema mamlaka imejiagiza mita 5000 ili kuwafungia wateja 2000 ambao walikuwa hawana mita najingine zitafungwa kwa wateja ambao walikuwa na mita lakini kwa makusudi wakaziharibu.
Mita ambazo zitafungiwa wateja ni za plastiki ambazo mamlaka imeziagiza ili kuweza kupambana na wafanya biashara vyuma chakavu ambao wamekuwa wakiharibu miundo mbinu ya mamlaka.http://www.mjengwaglob.com/
maji
Baada ya kutoa maji katika bwawa ,maji hayo hupitia hapa katika chujio ambapo yasafishwa ilikweza kusambazwa kwa watumiaji yakiwa safi na salama chujio hili lina uwezo wa kuchukua ujazo wa 15mm kwa siku.histori
Hili ni bwawa la igombe ambalo limejengwa mwaka 1956 na kuanza kutumika mwaka 1958 linaujazo wa maji 41mm maji bwawa hili kwa sasa linahudumia wakazi wa manispaa ya Tabora
STORY
Na Elisante Mkumbo na Victor Kinambile
Ili kuweza kuongeza mapato yatokananyo na utalii ,serekali imeombwa kuangalia uwezekano wa kuyafanyia matengenezo na kuya tangaza makumbusho mbalimbali nchini ili kuweza kuwavutia watalii waweze kufika kwa wingi.
Hayo yamesemwa na waandishi wa habari wa mikoa ya Singida na Tabora wakati walipotembelea makumbusho ya Tembe la David Livingston na nyumba ya mtemi Fundikira ambayo yapo mkoani Tabora wakiwa katika mafunzo ya siku nne juu ya uandishi wa mtandaao
Waandishi hao waligundua kusaulika kwa Tembe ambalo lilitumika kuwahifadhi watumwa kwaajili ya kuwasafirisha kwenda Bwagamoyo ambako walikuwa wakisafirishwa kwa mashuwa kwenda Zanziba hatimaye bara la Asia
Tembe hilo mwanzoni lilikandikwa kwa udogo juu ya paa lake na kuonyesha uhalisi ambapo liliwavutia watalii waliofika enzi hizo mpaka Wajerumani waliamua kulinunua kwa Rupia miamoja hamsini na kulihifadhi hadi walipojenga makao ya mkuu Kazahill (Tabora).
Kivutio kingine kilicho saulika na Wizara ya maliasi na utalii katika mji wa Tabora ni Jiwe lenye Ngoma, Bao,makalio na nyayo za watu wa kale.
Jiwe hilo ambalo lipo kando ya ngome ya mtemi Fundikira ambalo viongozi wengi wa serekali na mkoa wa mkoa wa Tabora wamekuwa wakipita na kuyaona bila kuya fayania matengenezo ambayo yangeweza kuwavutia watalii.
mwisho
mwisho
Haya ni majengo ambayo yamesaulika kufanyiwa matengenezo
Subscribe to:
Posts (Atom)