maji
Pamoja na TUWASA kuboresha huduma bado kuna wateja ambao siyo waaminifu kama inavyonekana katika picha .Mamlaka ya maji mjini tabora imetangaza vita na wezi wa maji na wateja ambao bado hajalipa huduma hiyo paja na kukatiwa.
Meneja biashara wa mamlaka hiyo Bernad Biswalo ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mjini Tabora baada malaka hiyo kupata hasara ya shilingi blioni 1,15904,232 zinzotokana na watumiaji wamaji kujilimbikizia bila kulipa.
Amesema kutoka na deni hilo mamlaka imekuwa inashindwa kutoa huduma hizo kwa ubora kutokana mamlaka kujiendesha bila kutegemea ruzku kutoka serekalini.
Amesema jamboalingine linalokwamisha ufanisi ni wizi wa miundo mbinu ambao unafannywa na wafanyabiashara wa vyuma chakavu na tayari mamlaka imejipanga kkupambana nao.
Habari na piccha Victor Kinambile.http://www.mjengwaglobspot.com/ michuziglobspot.com
MAJI
Na Vctor KinambileWakazi wa mji wa Tabora wataanza kupa huduma bora ya maji baada ya kufungwa kwa mtambo mpya ambao unarajiwa kuwasili siku yeyote kunzia sasa.
Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa tuwasa meneja biashara wa mamlaka hiyo Bernad BIswalo,alisema kwamba kwa muda mrefu wakazi wa manispaa Tabora wamekuwakipata huduma kwa kusua sua .
Alisema kwamba kusua sua huko kulitokana na mitambo ambaoyo inasababisha usukumaji wa maji kutoka katika bwawa na kuwasambazia wateja kuungua,.
Kuungua kwa mashine hizo kulisababisha huduma ya maji katika mji kusimama kwa muda wa wiki sasa hivyo kuingia kwa mtambo huo utasaidia urejeshwaji wa maji katika hali ya kawaida
Alisema mamlaka imejiagiza mita 5000 ili kuwafungia wateja 2000 ambao walikuwa hawana mita najingine zitafungwa kwa wateja ambao walikuwa na mita lakini kwa makusudi wakaziharibu.
Mita ambazo zitafungiwa wateja ni za plastiki ambazo mamlaka imeziagiza ili kuweza kupambana na wafanya biashara vyuma chakavu ambao wamekuwa wakiharibu miundo mbinu ya mamlaka.http://www.mjengwaglob.com/
maji
Baada ya kutoa maji katika bwawa ,maji hayo hupitia hapa katika chujio ambapo yasafishwa ilikweza kusambazwa kwa watumiaji yakiwa safi na salama chujio hili lina uwezo wa kuchukua ujazo wa 15mm kwa siku.histori
Hili ni bwawa la igombe ambalo limejengwa mwaka 1956 na kuanza kutumika mwaka 1958 linaujazo wa maji 41mm maji bwawa hili kwa sasa linahudumia wakazi wa manispaa ya Tabora
Subscribe to:
Posts (Atom)